Story kuhusu wimbo wa Fid Q aliomshirikisha Diamond Platnumz na RayVanny imeendelea ku-make headlines baada ya Diamond katika wimbo huo Fresh remix kudaiwa kumchana mwimbaji Alikiba kutokana na mistari aliyochana kwenye verse yake ambapo anasikika akisema:…si walitaka kiti nimewapa hadi kitanda wakalaleSasa kupitia Twitter yake Alikiba kaandika”The KING ll always Be a KING. je Umeshakitandika nilale MALKIA wangu wa nguvu ?? #KingKiba” – Alikiba
Home
»
»Unlabelled
» ALI KIBA KIBOKO,CHEK ALIVYOAMUA KUKICHAFUA TENA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)






Post a Comment