Leo Jumatano August 9, 2017 Rais Magufuli amefanya uteuzi kwa kumteua Prof. William Anangisye kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB).Prof. Wiliiam Anangisye ni Mkuu wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Dar es Salaam (DUCE).
RAIS MAGUFULI AMEFANYA UTEUZI MWINGINE LEO

Post a Comment