Wema Sepetu amefunguka kuhusu tabia yake ya kufanya urafiki na wanaume tata (mashoga) na ata kuishi nao nyumbani kwake.Akiongea na Global Publishers, Wema alieleza kuwa anawapenda na anafurahi sana kutangamana na mashoga kwani yeye hana chuki nao kama watu wengine.
Home
»
»Unlabelled
» WEMA SEPETU AFICHUA SIRI KWANINI ANAPENDA KUISHI NA WANAUME MASHOGA NYUMBANI KWAKE
Subscribe to:
Post Comments (Atom)







Post a Comment