Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Wanafamilia 11 wameripotiwa kufariki wakiwa kwenye ibada ya ubatizo wa mtoto baada ya paa la kanisa walilokuwepo kuwaangukia kutokana na tetemeko kubwa lililokumba Mexico juzi September 20, 2017.Waliopona kwenye janga hilo ni baba wa mto aliyekua anabatizwa ambaye alikua ni wa miezi miwili pamoja na wachungaji wawili ambao walikua wakiongoza tukio hilo.









Post a Comment

 
Top