Gumzo la wiki hii ni Diamond Platnumz kuzaa na Hamisa ambapo baada ya Diamond kukiri kwenye LEO TENAya CLOUDS FM kwamba ni kweli mtoto ni wake, Baba Mzazi wa Diamond amejitokeza na kumpa ushauri Zari The Boss lady ambae ni mama wa watoto wawili na Diamond
CHECK BABA YAKE DIAMOND PLATINUMS ALIVYOMSHAURI ZARI THE BOSS LADY,AMTAJA PIA HAMISA MOBETTO

Post a Comment