Usiku wa September 9, 2017 Fiesta ilifanyika kwa mara ya kwanza Arusha katika msimu mpya wa 2017 ambapo wasanii mbalimbali walitumbuiza kwenye stage na miongoni mwao ni Weusi ambao waliperfom kisha baadae wakawafanyia wakazi wa Arusha Surprise baada ya mwimbaji Vanessa kupanda akichana wimbo wa Don’t Bother.
Home
»
»Unlabelled
» CHECK WEUSI WALIVYOLIAMSHA DUDE ARUSHA,VANESSA MDEE AFUNIKA VIBAYA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)






Post a Comment