Dada wa mwanamuziki Diamond anayefahamika kwa jina la Esma ameandika ujumbe mzito leo kwenye ukarasa wake wa instagram kuhusu Wifi yake Zari.
Ikiwa leo ni birthday ya Zari, Esma ameandika maneno mazuri ya kuhusu wifi yake huyo huku akisema watu hawajui thamani yake kwa Kaka yake Diamond.
"Hawajui thamani yako kwa Naseeb walimtenda wengi kufikia kudharauliwa Mungu akakushusha akakuvuta mbali ulipo ili umfute machozi ambapo siku zote alitamani mtu wa kumfuta machozi na ulimpa nguvu ya kupambana wewe ni mwanamke unayejua thamanai ya mwanaume"
Esma amesema wanampenda sana Zari na wamajua thamani yake kwao huku akisema wengi wanahitaji nafasi yake ila hawawezi kuipata na akimaliziia na kumtakia heri ya siku yake ya kuzaliwa.

Post a Comment