Diamond
Platnumz on #LeoTena - amekiri kwamba Hamisa amewahi kuwa na mahusiano
nae ambayo yalianza mwaka 2009/10 wakati tu anatoka kwenye game ya
muziki kabla hajaanza mahusiano na @wemasepetuBaada ya kuachana wakati,
mimi nikaendelea na maisha yangu na mpaka naanzisha mahusiano yangu na
Zari. Shetani akanipitia na Tukaanza tena kuwa na mawasiliano ya
kimahaba mpaka pale @hamisamobetto alipopata ujauzito. Nilimuambia mimi
ni Baba mwenye familia yangu. Inabidi jambo hili libaki kati yangu mimi
na wewe. Sikupenda kuikana Mimba, ni damu yangu na kila siku iendayo kwa
Mungu nilikuwa nampatia matumizi. Mwanamuziki
Diamond Platinamz katika Mahojiano yake na kipindi cha Leo Tena,
amkubali mtoto wa Hamisa kuwa wake. Asema hakuna mazingira yoyote
aliyotengeneza kumkataa mtoto, alikuwa natoa laki 5 kila wiki kwa ajili
ya matumizi. - Kabla hajajifungua mimi nilimnunulia Rav 4 mpya kabisa
sikupenda ateseke na mtoto!
DIAMOND PLATINUMS AKUBALI MTOTO WA HAMISA MOBETTO NI WAKE,AMWAGA KILA KITU HADHARANI

Post a Comment