Dubai Crown Prince Sheikh Hamdan bin Mohammed bin Rashid Al Maktoum is seen inside the flying taxi in Dubai, United Arab Emirates September 25, 2017. REUTERS/Satish KumarMwanadamu amzedi kufanya vitu vya tofauti na vya ajabu hii ni kutokana na ukuaji wa teknolojia kuzidi kukua na kuleta urahisi kwa watu,Sasa kutokana na hilo wanasayansi kutoka falme za kiarabu(Dunia) wameamua kuja na kitu cha tofauti kwa ajili wa watu wake baada ya kutambulisha usafiri mpya. Dubai inakuja na huduma ya flying taxi ambayo itakuwa na uwezo wa kupakiza abiria wawili tu,Huduma hiyo itaanza kufanya kazi kupitia ndege zisizo na rubani (Drones), na Drone hiyo itakuwa na uwezo wa kukaa angani kwa muda wa takribani dakika 30.
Post a Comment