Wote tunafahamu kuwa mrembo Faiza Ally na Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi maarufu kama ‘Sugu’ walikuwa wapenzi na kufanikiwa kupata mtoto mmoja wa kike anayejulikana kwa jina la Sasha lakini hivi karibuni Faiza ambaye ni mama wa mtoto amekuwa kilalamikia Sugu kutokumjali mtoto.
FAIZA ALLY NA SUGU KIMENUKA,MATUNZO YA MTOT WAO YAIBUA MAMBO

Post a Comment