Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Baada ya Zari kuonekana kutokuwa na furaha baada ya kusalitiwa na baba watoto wake Diamond Platnumz kwa kuzaa na mrembo Hamisa Mobetto, Mama mkwe wake Sandrah Michael ameamua kumpooza machungu japo kidogo.



Sandrah ambaye ni mama mzazi wa Diamond, amemtumia ujumbe Zari kupitia mtandao wa Instagram.



Kupitia mtandao huo Bi Sandrah ameandika, “IJUMAA KAREEM MAMA TEE MTANDIO KUTOKA KWA MTU MBAYAAAAAA KUBWA LA MAADUI..BIBI TEE ..SANDRAH SAMMY #ANAMEREMETA @2colections_dubai @2colections_dubai .”

Post a Comment

 
Top