Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Elizabeth Michael ‘Lulu’ na mama yake, Lucresia Karugila
MAMA wa mwigizaji Elizabeth Michael ‘Lulu’, Lucresia Karugila amefunguka kuwa anasubiri ndoa ya mwanaye kwani mkwewe mtarajiwa yupo na ameonesha dhamira ya dhati ya kumuoa bintiye.
Akishusha ‘vesi’ mara baada ya kuulizwa kuhusu mustakabali wa penzi la mwanaye, mama huyo alisema hana wasiwasi kama wazazi wengine wanavyokuwa na hofu.
“Sina hofu kama wazazi wengine. Nasubiri ndoa tu hakuna cha nini wala nini, mkwe wangu yupo makini na hana longolongo,” alisema mama Lulu bila kumtaja jina mkwewe.

Post a Comment

 
Top