Askari wa JWTZ wakibeba Jeneza la mwili wa marehemu Praiveti Mussa Jumanne Muryery tayari kwa safari ya kuelekea Dodoma kwa ajili ya mazishi. Mwili wa Marehemu uliagwa leo katika Hospitali ya Kuu ya Jeshi Lugalo jijini Dar es Salaam.
MWILI WA MAREHEMU PRAIVETI MUSSA WAAGWA KATIKA HOSPITALI KUU YA JESHI LUGALO JIJINI DAR,TAYARI KWA SAFARI YA MAZISHI MKOANI DODOMA

Post a Comment