Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Kauli aliyoitoa rais wa Marekani, Donald Trump kuhusu wachezaji wa NFL ambao hupiga magoti badala ya kusimama wakati nyimbo ya taifa inapokuwa inapigwa, wanapaswa wafukuzwe. Sasa Bhana Kauli hiyo imepokelewa vibaya na wasanii wengi wa miondoko ya HipHop.


Wamarekani wengi wameonyesha kutokubaliana na Donald Trump kwa kusema kwamba amekosea kutoa komenti kwa wachezaji tena amewavunjia heshima kwani aliwatukana kabisa, Wasanii kibao wamempinga Trump na kuamua kuwapa sapoti wachezaji hao waendelee na ishu hiyo hiyo.
Miongoni mwa wasanii hao ni pamoja na LL COOL J, COMMON, DIDDY, CHRIS BROWN, Wote hawa wametoa sapoti kuhusu mwendelezo wa ishu hiyo na kusema kwamba wachezaji hao inabdi wakomae tuu wala wasiiwazie sana kauli ya Trump.
Wakati hayo yakiwa yanazungumzwa huku mengine nayo yanaendelea kumwanadama Trump baada ya kuzuia wacheza kikapu kuja Whitehouse na hiyo yote ni baada ya Stephen Curry kukawia kujibu mualiko huo.
Unaambiwa Raia wanamtaka Trump aache kuwaingilia kwenye Michezo, walishamwachia kuongoza nchi, Sasa kama jamaa ameamua kudondokea na kwenye michezo pia.

Do

Post a Comment

 
Top