Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
A2
Tetemeko kubwa la ardhi limeikumba Mexico na kuua watu karibu 250 na kuangusha makumi ya majengo katika mji mkuu wa Mexico City.
Rais Enrique Peña Nieto amesema zaidi ya watoto 20 wamekufa na 30 hawajulikani walipo baada ya jengo la shule kuanguka.
Tetemeko hilo la ardhi lenye ukubwa wa alama 7.1 limesababisha uharibifu mkubwa katika majimbo ya jirani na Mexico City.
   Jengo la ghorofa likiwa limetiti kufuatia kutokea kwa tetemeko nchini Mexico
                   Waokoaji wakiendelea na shughuli ya uokoaji kwa kufukua vifusi vya majengo
 Miili ya watu waliokufa kwa tetemeko ikiwa imelazwa na kuwashiwa mishumaa katika kuomboleza.
 
 
 

Post a Comment

 
Top