Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Wakati sakata la Hamisa Mobeto kuzaa na mzazi mwenziye Zarina Hassan ‘Zari The Boss Lady’, likiwa bado bichi na watu wakiendelea kumuweka kikaangoni kwenye mitandao ya kijamii, Queen wa Bongo Muvi,Shamsa Ford, ameandika ujumbe ambao mashabiki wanadai ni kijembe kwa Mobeto

Baada ya post hiyo, mashabiki wa Hamisa walimjia juu Shamsa na kumshushia kichambo wakimtaka aachane na ishu za mwanamitindo huyo, badala yake apambane na hali yake.

NA ISRI MOHAMED/GPL

Post a Comment

 
Top