Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Watu kumi wamekufa na wengine 24 kujeruhiwa baada ya gari aina ya Toyota Hiace kugongana uso kwa uso na gari aina ya Toyota Noah, katika eneo la Ihuka mkoani Singida. Kwa mujibu wa mashuhuda wa ajali hiyo, dereva wa gari aina ya Toyota Hiace alikuwa akijaribu kulipita gari jingine bila mafanikio, ndipo alipogongana na gari hilo nakusababisha maafa makubwa. [caption id="attachment_17292" align="aligncenter" width="595"] Gari aina ya Noah iliyopata ajali kwa kugongana na lori katika eneo la Kijiji cha Isuna , mkoani Singida na kusababisha vifo vya abiria 13, jana. Picha na Gasper AndrewBRE[/caption]

Post a Comment

 
Top