Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This



Teknolojia ya sasa ina ruhusu kupiga picha za anga kwa kutumia ‘drone’ kifaa kidogo mfano wa ndege kinachoweza kurushwa angani na kuchukua picha kwa ubora kabisa lakini Jin-Woo Prensena hatumii kifaa hicho, ananing’inia mwenyewe kwenye Helikopta.

Hata hivyo kwenye miji mikubwa kama New York na nchi zilizoendelea sheria haziruhusu kurusha drone hivyo Wapiga picha wengi hutumia Helikopta kupiga picha za juu ila Jin ametisha zaidi kwasababu yeye ananing’inia kabisa huku akiwa ameshikiliwa na kamba.

Jin ameiambia CNN kwamba anapenda upigaji picha wa namna hiyo ambao pia unampa changamoto…





V

Post a Comment

 
Top