Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Bob Chacha Wangwe akiwa mikononi mwa polisi.
MAHAKAMA ya Kisutu imemhukumu Bob Chacha Wangwe kwenda jela mwaka mmoja na nusu au kulipa faini ya Sh. Milioni 5 kwa kupatikana na hatia ya kuchapisha taarifa ya uongo Facebook alikoandika: “Haiwezekani Znz kuwa koloni la Tanzania Bara kwa sababu za kijinga”.
Habari kutoka mahakamani zinasema ndugu wa Wangwe wanachanga fedha hizo ili kumnusuru na adhabu ya kwenda jela.

STORI: DENIS MTIMA, GPL

Post a Comment

 
Top