Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Baada ya kuenea kwa video ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo akieleza kuwa amepokea ujumbe wa waziri mkuu mstaafu Edward Lowassa kuwa ameomba kukutana na Rais Magufuli kwa lengo la kuomba kurudi CCM akitokea Chadema.

“Mimi hizo habari nimezisikia kutoka kwenu na nimezisikia leo taarifa hizo sio za kweli sijaomba kukutana na Rais na nashangaa kwa nini Mkuu wa Mkoa mzima anasema uongo na anaachiwa bila kuchukuliwa hatua, nataka kumwambia aache uongo na sina mpango wa kurudi CCM”  Edward Lowassa

Post a Comment

 
Top