Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Mrembo machachari Afrika mashariki ajulikanae kwa jina la Hamisa Mobetto ameibuka kuwa mshindi wa Tuzo za Startqt kwenye kipengele cha ”People Choice” Tuzo hizi zilianzishwa Mnamo Mwaka 2014 nchini Afrika ya Kusini kwa Madiba
 
Baadhi ya wasanii wenzake wamempongeza staa huyo kwa kupata Tuzo hiyo ikiwa ni hatua nzuri katika kazi yake ya Urembo, Mrembo huyu ametoa shukrani za dhati kwa wahamasishaji wote na waliompigia kura.

Post a Comment

 
Top