Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
 
Hukumu ya miaka miwili aliyopewa Mwigizaji Lulu leo imegusa watu mbalimbali ambapo pamoja na kwamba wawili hawa iliwahi kuripotiwa kuwa hawana maelewano mazuri, kilichotokea leo kimemgusa Hamisa Mobetto mpaka kuandika yafuatayo na inaonekana hakuna ugomvi kati yao kwani kwa maelezo haya Lulu ameonekana ni Rafiki wa Mtoto wa Hamisa.
Ni Mapito Tu aunty ake Fansy.kinachoniuma Zaidi Ni how much 
Fantasy amekuzoea , sisi wote hatupo tayari kwa mabadiliko hayo katika maisha yetu, MUNGU akupe Nguvu na kukusimamia love .

Post a Comment

 
Top