Muigizaji wa filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’.
WIKI chache baada ya muigizaji wa filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ kufungwa jela, mdogo wa marehemu Steven Kanumba, , aitwaye Seth Bosco aliyekuwepo siku ya tukio la mauaji hayo, hana mpango kwa sasa wa kwenda kumjulia hali msanii huyo gerezani.







Post a Comment