Baada ya kushinda tuzo mbili za AFRIMA Weekend hii AliKiba ameandika ujumbe mfupi kwaajili ya mashabiki wake wote duniani waliompa ushirikiano mpaka kushinda tuzo hii.
AliKiba aliandika “Thank you Africa! You made it possible to win two awards @afrimawards. Fans across the world Asanteni sana” AkimaanishaAsante Afrika, mumefanya imewezekana mimi kushinda tuzo mbili za AFRIMA, Mashabiki wote duniani Asanteni Sana.






Post a Comment