Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Wabunge nane wa Chama cha Wananchi CUF wamezungumza na waandishi wa habari kuhusu maamuzi ya mahakama baada ya kuvuliwa ubunge na Spika wa Bunge Job Ndugai kufuatia kuvuliwa uanachama wa chama chao hicho.

Mahakama imetengua utekelezwaji wa kutengua uanachama wetu, kisheria hii ina maana kuwa sisi sote bado ni wanachama halali wa CUF na bado tuna sifa za kuendelea kuwa wabunge pamoja na wale madiwani wawili.” Riziki Shaalim Ally

Post a Comment

 
Top