Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhe. Charles Mwijage (Mb, akizungumza na balozi wa Jamhuri ya watu wa China nchini Tanzania Mhe, Bi. Wang Ke.
Balozi wa China nchini Tanzania Mhe, Bi. Wang Ke (wa pili kulia), akiagana na Mhe. Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhe. Charles Mwijage, wa kwanza kushoto ni Naibu waziri Mhe. Injinia Stellah Manyanya, na wa kwanza kulia ni Katibu Mkuu Mhe. Prof. Elisante Ole Gabriel.
Balozi wa China nchini Tanzania Mhe, Bi. Wang Ke akiwa na Naibu waziri Mhe. Injinia Stellah Manyanya mara baada ya mazungumzo ya uwekezaji na ushgirikiano baina ya nchi hizi mbili.
Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhe. Charles Mwijage (Mb, akipokea zawadi kutoka kwa balozi wa Jamhuri ya watu wa China nchini Tanzania Mhe, Bi. Wang Ke mara baada ya mazungumzo ya kukuza ushirikiano wa kibiashara na uwekezaji baina ya nchi hizi mbili.
Katibu Mkuu Mhe. Prof. Elisante Ole Gabriel na balozi wa Jamhuri ya watu wa China nchini Tanzania Mhe, Bi. Wang Ke
wakijadiliana masuala ya uwekezaji katika miradi mbalimbali ya uwekezaji nchini.
………………..
Balozi wa China nchini Tanzania Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhe. Charles Mwijage (Mb) pamoja na Naibu Waziri Mhe. Injinia Stella Manyanya wakutana na balozi wa Jamhuri ya watu wa China nchini Tanzania Mhe, Bi. Wang Ke na kujadili masuala mbalimbali ya uwekezaji na ushirikiano baina ya nchi hizi mbili.






Post a Comment