Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Dkt Shika Azidi Kung'aa Aipamba 'Nanii' ya Gazza 
Rapa mwenye chembe kibao za kutosha za kuitwa mkali wa michano chini ya Tip Top ‘Gazza’ mwenye ujio wa kazi mpya ‘Nanii’ iliyomshirikisha Madee, ameachia video ya wimbo wake ndani ikiwa imepambwa na warembo bila kumuacha mzee mwenye sifa ya utajiri sambamba na Utata, Dkt Louis Shika.


Video ya wimbo huo iliyoongozwa na Director Khalfani, Dkt Louis Shika amepata tena nafasi ya kuonekana kwa mara nyingine ikiwa inakumbukwa kuwa tangu kupata kwake umaarufu ameonekana katika matangazo mbali mbali na video ya kazi mpya ya umoja wa masanii wawili wa muziki wa Rap, ROSTAM unoundwa na Stamina pamoja na ROMA.

Post a Comment

 
Top