Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan aongoza wakazi wa mji wa Dodoma katika Maadhimisho ya Siku ya Maadili ya Haki za Binadamu Kitaifa yanayofanyika kwenye uwanja wa Kumbukumbu ya Nyerere.


Makamu wa Rais akisalimia na Kamishna wa dawa za kulevya,Rogers William Sianga








Makamu wa Rais akizungumza na Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Ndugu Bahame Tom Nyanduga


Makamu wa Rais akiwa na Waziri wa Fedha na Mipango, Philip Mpango


Makamu wa Rais akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru, Valentino Mlowola.

Post a Comment

 
Top