Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
 
Msanii mkongwe wa muziki Bongo, Mr. Nice amesema hakuna msanii anayemkubali zaidi yake.

Muimbaji huyo amekiambia kipindi cha The Playlist, Times Fm kuwa bado anaamini katika uwezo wake kiasi kwamba hata dunia nzima hakuna ambaye anaweza kumtanguliza mbele kiuwezo kabla yake.
“Mimi hakuna msanii yeyote ninayemkubali duniani, msanii ninayemkubali ni Mr. Nice kwa sababu naamini inatakiwa ujipende kabla hujampenda mwenzio, kwa hiyo wasanii wengine wote sioni kama kuna wa zaidi yangu” amesema Mr. Nice.
 

Post a Comment

 
Top