
DODOMA: Aliyekuwa Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Sadifa Khamis amefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma leo akishitakiwa kwa kosa la kutoa rushwa kwa wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Jumuiya hiyo.
Sadifa amepandushwa kizimbani mjini humo leo Desemba 11, 2017 ili kujibu mashtaka hayo yanayomkabiri.






Post a Comment