NAIBU Waziri wa Maji na
Umwagiliaji Jumaa Aweso akisalimiana na Afisa Uhusiano wa Mamlaka ya
Maji Safi na Usafi wa Mazingira Jijini Tanga (Tanga Uwasa) Dorrah Killo
mara baada ya kuwasili kwa ajili
ya ziara ya kuitembelea mamlaka hiyo kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa
Mamlaka hiyo Mhandisi Phares Aram

Umwagiliaji Jumaa Aweso kulia akiwa na Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya
Maji Safi na Usafi wa Mazingira Jijini Tanga (Tanga Uwasa) Mhandisi
Phares Aram wakiingia kwenye ukumbi wa mikutano wa mamlaka hiyo kwa
ajili ya kumpatia taarifa wakati wa ziara yake.

| NAIBU Waziri wa Maji na Umwagiliaji Jumaa Aweso akizungumza wakati wa ziara hiyo |
Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya
Maji Safi na Usafi wa Mazingira Jijini Tanga (Tanga Uwasa) Mhandisi
Phares Aram akizungumza wakati wa ziara hiyo

| NAIBU Waziri wa Maji na Umwagiliaji Jumaa Aweso akizungumza na watumishi wa mamlaka hiyo |
| Afisa Rasilimali watu wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Jijini Tanga (Tanga Uwasa),Haika Ndalama akizungumza wakati wa ziara hiyo wa Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Jumaa Aweso |
Sehemu ya watumishi wa mamlaka hiyo wakifuatilia nasaha za Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Jumaa Aweso
Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Jumaa Aweso akiwa kwenye picha ya pamoja na watumishi wa Mamlaka hiyo
Naibu Waziri wa Maji na
Umwagiliaji Jumaa Aweso kulia akisisitiza jambo kwa Kaimu Mkurugenzi wa
Mamlaka ya Maji Safi na Usafiri wa Mazingira Jijini Tanga,Phares Aram
wakati alipotembelea mradi wa mfumo wa uboreshaji wa Maji

Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Jumaa Aweso katikati akimsikiliza kwa umakini Kaimu
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafiri wa Mazingira Jijini
Tanga,Phares Aram wakati alipotembelea mradi wa mfumo wa uboreshaji wa
Maji (Habari kwa hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha)

Afisa Uhusiano wa Mamlaka ya Maji
Safi na Usafi wa Mazingira Jijini Tanga (Tanga Uwasa) Dorrah Killo
akimueleza jambo kwenye ziara hiyo ya Naibu Waziri

Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Jumaa Aweso akichimba mtaro katika eneo la Mikanjuni Jijini Tanga wakati alipotembelea mradi wa mfumo wa uboreshaji wa Maji
Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Jumaa Aweso akichimba mtaro katika eneo la Mikanjuni Jijini Tanga wakati alipotembelea mradi wa mfumo wa uboreshaji wa Maji
Naibu Waziri wa Maji na
Umwagiliaji Jumaa Aweso akitoa mchanga kwenye mtaro huo mara baada ya
kuuchimba na sururu wakati wa ziara yake ya kutembelea mamlaka ya maji
safi na usafi wa mazingira Jijini Tanga (Tanga Uwasa)

aimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji
Safi na Usafiri wa Mazingira Jijini Tanga,Phares Aram akichimba mtaro
huo katikati anayeshuhudia ni Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Jumaa
Aweso

Habari kwa Hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha

Post a Comment