Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
1
Naibu Waziri wa Uvuvi na Mifugo, Abdallah Ulega, akizindua  zoezi la upigaji chapa mifugo  katika kijiji cha Kelema wilaya ya Nchemba mkoani Dodoma.
 Naibu Waziri wa Uvuvi na Mifugo, Abdallah Ulega, zoezi la upigaji chapa  mifugo katika kijiji cha Mungoroma wilaya ya Kondoa mkoani Dodoma.
 Naibu Waziri wa Uvuvi na Mifugo, Abdallah Ulega,akizungumza na wananchi wa kijiji cha Mungoroma wilaya ya Kondoa mkoani Dodoma.
 Naibu Waziri wa Uvuvi na Mifugo, Abdallah Ulega akimsikiliza Kaimu Meneja wa poli la akiba Swagaswaga Deogratius Swai kuhusu mifungo iliyokamatwa katika poli hilo kuanzia Julai mwaka hadi Desemba mwaka huu.
Muonekano wa mifungo hiyo iliyo kamatwa katika poli la akiba la Swagaswaga

Post a Comment

 
Top