Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisaidiwa na viongozi wengine kufunua kitambaa kuashiria kufunguliwa kwa nyumba 150 mpya za makazi zilizojengwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) eneo la Iyumbu nje kidogo ya mji wa Dodoma leo Desemba 13, 2017



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisaidiwa na viongozi wengine kukata utepe kuashiria kufunguliwa kwa nyumba 150 mpya za makazi zilizojengwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) eneo la Iyumbu nje kidogo ya mji wa Dodoma leo Desemba 13, 2017.



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli pamoja na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi, Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Nyuma la Taifa (NHC) Mama Blandina Nyoni, Mkurugenzi Mkuu wa NHC Bw. Nehemia Mchechu wakikagua moja ya nyumba 150 mpya za makazi zilizojengwa na NHC eneo la Iyumbu nje kidogo ya mji wa Dodoma leo Desemba 13, 2017



Muonekano wa baadhi za nyumba nyumba 150 mpya za makazi zilizojengwa na NHC na kufunguliwa na Rais Dkt John Pombe Magufuli eneo la Iyumbu nje kidogo ya mji wa Dodoma leo Desemba 13, 2017



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na viongozi wa dini na wananchi wakati wa sherehe za ufunguzi wa nyumba 150 mpya za makazi zilizojengwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) eneo la Iyumbu nje kidogo ya mji wa Dodoma leo Desemba 13, 2017.



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimpongeza mshereheshaji Ephraim Kibonde wakati wa ufunguzi wa nyumba 150 mpya za makazi zilizojengwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) eneo la Iyumbu nje kidogo ya mji wa Dodoma leo Desemba 13, 2017



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na wafanyakazi wa NHC wakati wa sherehe za ufunguzi wa nyumba 150 mpya za makazi zilizojengwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) eneo la Iyumbu nje kidogo ya mji wa Dodoma leo Desemba 13, 2017





Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiongozana na Spika Job Ndugai, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi,Mkurugenzi Mkuu wa NHC Bw. Nehemia Mchechu wakati wa sherehe ya ufunguzi wa nyumba 150 mpya za makazi zilizojengwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) eneo la Iyumbu nje kidogo ya mji wa Dodoma leo Desemba 13, 2017.






Rais Dk John Pombe Magufuli akifungua mradi wa Iyumbu Satellite Centre. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk John Pombe Magufuli amefungua mradi wa Nyumba za Gharama nafuu Iyumbu Satellite Centre leo hii. Mradi huu una jumla ya nyumba 150 kwa awamu ya kwanza na zitafuata nyumba zingine 150 katika awamu inayofuata .



Meneja wa Miradi ya Ubia, Subira Gudadi akimkaribisha Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Tulia Ackson wakati akiwasili katia eneo la mradi.



Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Tulia Ackson akitia saini kitabu cha wageni wakati akiwasili katia eneo la mradi.



Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba wakifuatilia ufunguzi wa mradi huo



Bendi ya Muziki ya Mjomba ikiendelea kutumbuiza katika eneo la tukio



Mrisho Mpoto akiburudisha katika hafla hiyuo iliyofanyika leo.





Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Nehemia Mchechu akijadiliana jambo na Mwenyekiti wa Bodi ya NHC, Mama Blandina Nyoni.



Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Nehemia Mchechu, Menyekiti wa Bodi ya NHC, Mama Blandina Nyoni, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dk.Benilith Mahenge wakimsubiria Mheshimiwa Rais awasili.



Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi, Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Nehemia Mchechu, na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dk.Benilith Mahenge wakimkaribisha Mheshimiwa Rais Dk John Pombe Magufuli



Rais Magufuli akiwapungia mkono wananchi wakati alipowasili katika eneo la ufunguzzi za nyumba za makazi Iyumbu.



Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi, Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Nehemia Mchechu, na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dk.Benilith Mahenge wakimkaribisha Mheshimiwa Rais Dk John Pombe Magufuli



Rais Magufuli akifuatilia baadhi ya mambo



Baadhi ya wafanyakazi wa NHC wakifuatilia tukio hilo.



Wananchi wakifuatilia tukio hilo la ufunguzi.



Mkuu wa mkoa Benillith Mahenge akihutubia.



Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Nehemia Mchechu, na Mkuu akihutubia.



Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi akihutubia.



Rais Magufuli akihutubia katika ufunguzi huo



Picha ya pamoja.



Rais Magufuli akisalimiana na Mshereheshaji wa shughuli hiyo Ephraim Kibonde.

Post a Comment

 
Top