Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Simba imepangwa kuanza katika raundi ya awali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya wawakilishi wa Djibouti, Gendarmerie Tnale.


Ikifanikiwa kuitoa Gendarmerie ya Djibouti, Simba itakutana na mshindi kati ya Al-Masry ya Misri dhidi ya Green Buffaloes ya Zambia.

Upande mwingine timu ya Zimamoto ya Zanzibar nayo imepangwa kucheza dhidi ya Welayta Dicha ya Ethiopia.

Post a Comment

 
Top