Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Diamond Platnumz  kwenye IG Yake , Video yake mpya ya Waka Waka Ft Rick Ross in Trend kwenye nafasi ya kwanza katika nchi tatu Africa Mashariki, Kenya, Uganda na Tanzania.

Diamond ameandika >THANK YOU SO MUCH FOR THIS LOVE MY PEOPLE….Nashkuru kwa kuendelea kukipokea Kidogo changu niwapacho….Inshaallah Mungu anijalie niwape kikubwa zaidi  NUMBER ONE HERE!! NUMBER ONE THERE!!…WAKA WAKA NUMBER ONE EVERY WHERE!!!!. #TANZANIA #KENYA #UGANDA STREAM!! WATCH!! DOWNLOAD!! SHARE!! LINK IN MY BIO

Post a Comment

 
Top