Baada ya picha za mahaba za muigizaji Irene Uwoya akiwa na mtangazaji Tbway kusambaa kwenye mitandao ya kijamii, wengi walianza kuhisi kuwa inawezekana picha hizo zikavunja ndoa ya Dogo Janja na Irene Uwoya.
Kutokana na picha hizo kuvuja Dogo Janja aliweka wazi kuwa hawezi kugombana na mke wake Irene Uwoyakisa jirani kasema wagombane.
Ayo Tv ilijitahidi kumtafuta Tbway ili aongelee ishu hiyo ambayo ilileta gumzo katika mitandao ya kijamii na Tbway kufunguka na kusema “Hizo picha ni za movie na nilipost kabisa kwenye Instagram yangu, no sijaongea na Irene Uwoya na yeye anafahamu kabisa kwamba pale ilikuwa ni location”






Post a Comment