Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Diva: Sipo Single Nimeshapata Mwanaume Ambaye Amekubali Kulipa Mahari ya Milioni 500
Mtangazaji  DIVA ameweka wazi kuwa kwa sasa hayupo single tayari ameshapata Boyfriend mpya baada ya kumwagana na mwanamuziki Heri Muziki.

Diva amesema kuwa mwanaume huyo tayari ameshakubali kulipia mahari ya shilingi milioni 500 ingawaje kwa sasa amekataa kumuweka wazi kwenye mitandao ya kijamii.

Kwa upande mwingine Diva amesema kuwa kwa sasa anapata tabu kweli kutoka kwa mwanaume kitu ambacho kinamfanya abadilishe laini mara saba kwa mwezi.

Post a Comment

 
Top