MSANII maarufu wa Bongo Movies, Isabela Mpanda amejifungua salama leo Machi 28, 2018 mtoto wa kiume.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Isabela ameweka picha ikionyesha mguu wa mtoto wake mchanga na kuandika; “MUNGU NI MWEMA”
MSANII maarufu wa Bongo Movies, Isabela Mpanda amejifungua salama leo Machi 28, 2018 mtoto wa kiume.
Post a Comment