Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Viongozi waandamizi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo wanatarajiwa kufikishwa leo asubuhi katika Mahakama ya Kisutu kwa ajili ya kusikiliza uamuzi wa dhamana yao huku wakisindikizwa na baadhi ya wajumbe wa Kamati kuu CHADEMA.

Kesi hiyo ya Viongozi wa CHADEMA inatarajiwa kutajwa leo chini ya Hakimu Mkazi Mkuu Wilbard Mashauri ambaye anatarajiwa kutoa uamuzi kuhusu dhamana ya washtakiwa hao.
Hata hivyo baadhi ya Viongozi wengine wa chama hicho wamefika mahakamani hapo ili kuwasindikiza viongozi wenzao wakiongozwa na Mjumbe wa Kamati Kuu CHADEMA, Edward Lowassa, Makamu Mwenyekiti wa Chadema Profesa Abdallah Safari na  baadhi ya Wabunge.
Hata hivyo ulinzi umeimarishwa katika eneo la Mahakama


Post a Comment

 
Top