Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Snura Mushi
MSANII wa muziki Bongo, Snura Mushi anadaiwa kubadilishwa kimavazi na mwandani wake wa sasa aitwaye Minu.
 Minu amemtaka Snura ajistiri kutokana na umbo lake kuwa na ushawishi mkubwa kwa wanaume.“Jamaa nahisi anaona ataibiwa, kamwambia abadilike,” alisema mtoa ubuyu huyo.

Alipoulizwa Snura kuhusu ishu hiyo, aliangua kicheko na kujitetea. “Hahaaa, jamani mwenyewe nimeamua tu kubadilika jamani!”

Post a Comment

 
Top