Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Mtangazaji Tbway Anusurika Kifo Baada ya Kupata Ajali Mbaya
Taarifa za  hivi punde kuhusiana na mtangazaji wa EATV Tbway ni kuwa amepata ajali akiwa na gari yake usiku huu maeneo ya Makumbusho Kijitonyama.

Tbway amepata ajali na gari yake kuharibika na kwa mujibu wa DJ Choka ambaye alifanikiwa kufika eneo la tukio, amethibitisha kuwa Tbway ametoka salama na anaendelea vizuri.

Post a Comment

 
Top