Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Rais  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk.Ali Mohamed Shein(kulia) akizungumza na Ujumbe wa   Kampuni ya ZTE wakati alipofika Ikulu Zanzibar leo ukiongozwa na  Makamo Mkuu wa Rais wa Kampuni ya ZTE, Bw. Zhao  Peng (wa pili kulia).
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein(kulia) akizungumza na Ujumbe wa Kampuni ya ZTE wakati alipofika Ikulu Zanzibar leo ukiongozwa na  Makamo Mkuu wa Rais wa Kampuni ya ZTE, Bw. Zhao  Peng.
 Rais  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akiagana na mgeni wake Makamo Mkuu wa Rais wa Kampuni ya ZTE, Bw.Zhao  Peng, baada ya mazungumzo pamoja na Ujumbe aliofuatnana nao leo alipofika Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu).

Post a Comment

 
Top