Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
STAA wa miondoko ya mduara Bongo, Snura Mushi amefunguka kuwa amejikuta akizitolea macho sare za wanafunzi wa sekondari baada ya kuishia kuvaa za shule ya msingi kutokana na uwezo duni waliokuwa nao wazazi wake.


Snura au Mamaa Majanga aliliambia huwa anawaasa wasichana kwamba wamepata fursa ya kusoma, watumie nafasi hiyo kwa sababu yeye hakubahatika kabisa kukanyaga sekondari wala kuvaa sare hizo, jambo ambalo linamfanya sasa hivi atumie nguvu ili wanaye wapate elimu.

“Kiukweli nikiona wasichana wamevaa sare za sekondari huwa ninazitolea macho sana. Natamani siku zirudi nyuma ili nami nipate elimu hiyo,” alisema Snura aliyeishia darasa la saba.

Post a Comment

 
Top