Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Tetesi zinazoendelea katika mitandao ya kijamii ni kuwa video vixen maarufu nchini Tundapamoja na mtangazaji wa Clouds Tv Casto Dickson inasemekana kuwa wapo katika uhusiano wa kimapenzi ingawa wawili hao hawajathibitisha hilo kokote zaidi ya kusema kuwa wanafanya kazi pamoja kwaajili ya project mpya ya Tunda.

Nakusogezea picha 6 zinazomuonyesha Tunda na Casto Dickson wakiwa fukwe zaZanzibar  wakijiachia.

Post a Comment

 
Top