Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Vanessa Mdee ni miongoni mwa mastaa ambao walichukua headlines kwenye mitandao ya kijamii siku  chache zilizopita kutokana na mavazi yake aliyovaa na ali-share picha ya mavazi hayo kupitia ukurasa wake wa instagram.


Kutokana na mavazi aliyovaa Vanessa baadhi ya wachekeshaji  walitengeneza vichekesho kutokana na nguo hiyo na kushare kwenye page zao za instagram na comments zikawa nyingi kuhusiana na hilo  March 24,2018 Vanessa Mdeeameonekana kukubaliana na utani ambao ulikuwa ukiendelea kwenye mitandao ya kijamii kuhusu mavazi yake bila kujali kama anadhalilishwa.

Post a Comment

 
Top