Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
 Msanii wa filamu Bongo, Esha Buheti amemfunda mke wa Alikiba, Aminah Rikesh Ahmed wakati atakapo kuja Bongo na jinsi ya kuishi na watu wake.

Esha ambaye ni miongoni mwa watu wa karibu wa Kiba ambao wamesafiri mpaka mjini Mombasa kuhudhuria ndoa hiyo, ametumia mtandao wake wa Instagram kumfunda malkia huyo mpya wa Kariakoo.
Esha ambaye ni miongoni mwa watu wa karibu wa Kiba ambao wamesafiri mpaka mjini Mombasa kuhudhuria ndoa hiyo, ametumia mtandao wake wa Instagram kumfunda malkia huyo mpya wa Kariakoo.
ALHAMDULILLAH NDOA ISHAPITAA TUKUTANE KWENYE HALL USIKUU….. MASHALLAH MASHALLAH WIFI KARIBU NYUMBANI… UNAPOINGIAA KICHWA INAMISHA CHINI…MASKIOO WEKA PAMBAA…….WAKIKUPA HABARI WAAMBIE MBONA NAJUAA MUME ALISHANAMBIAAAA
Alikiba amefunga ndoa hiyo alfajiri ya leo April 19 katika msikiti wa Ummu Kulthummjini uliopo mjini Mombasa, Kenya.  

Post a Comment

 
Top