Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
IGP Siro Kupambana na Wanaopanga Kufanya Uhalifu
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro akiwa katika ziara ya kikazi mkoani Dodoma  amefanya ukaguzi wa Askari wake ambapo pia alipata nafasi ya kuwaeleza Waandishi wa habari kuhusu hali ya usalama nchini ilivyo na kutoa onyo kwa watu wanaotarajia kufanya uhalifu.


“Mtu yeyote au kikundi chochote kisitishie amani ya nchi kwa  manufaa yake, watu watii sheria na atakayekwenda kinyume cha sheria sheria itamshugulikia. Watu wengi wanapenda kutii sheria ila ni wachache sana wanapenda kuingia kwenye uhalifu na mtu akiingia kwenye uhalifu lazima nitamshugulikia” –IGP Simon Sirro

Post a Comment

 
Top