Staa wa muziki kutokea kwenye Bongo Fleva Ali Kiba ameamua kuvuta jiko Mombasanchini Kenya leo April 19,2018 ambapo kafunga ndoa rasmi na mke wake Amina Khalef Ahmed katika msikiti wa Ummul Kulthum na baadaye Reception(sherehe kamili) kufanyika Dar Es Salaam
Hizi ni baadhi ya picha za kinachoendelea Mombasa katika harusi hiyo.






Post a Comment