Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli leo April 18, 2018 amewasili mtaa wa Muheza Kariakoo jijini Dar es salaam kwa ajili kutoa pole kwa familia ya Mzee Mashaka Gambo kwa kufiwa na mkewe ambaye pia ni mama mzazi wa Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo kwa kufiwa na mama yake mzazi Marehemu Rehema Paul Mumbuli.
Home
»
»Unlabelled
» RAIS DKT MAGUFULI ATOA MKONO WA POLE KWA FAMILIA YA MRISHO GAMBO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)






Post a Comment