Video model na Ex wa rapa Wiz Khalifa Amber Rose amekiri kuwa yuko tayari kuwa mke wa rapa 21 Savage ambaye wamekuwa pamoja kwa muda wa miezi miwili sasa.
Amber amesema haya kwenye show ya mpenzi wake 21 Savage iliyofanyika weekend hii, kwenye video hio Amber anasema Imma marry him






Post a Comment